Vodacom Tanzania mlichonifanyia Mbeya(Chimala) Mungu ndio atanilipia

juzi nimeweka vocha nataka niunge kifurushi nimekuta menu imebadilika ...
naona huu mtandao umekua wa kishua .....nawahama soon.
 
Juzi kati nimeweka vocha ya 2500 nataka kujiunga kifurushi cha Uni 2500 inagoma inasema sina salio la kutosha kwenda kucheki salio nakuta imebaki 2000 ile mia 5 ya juu sikuelewa imepeperukia wapi
 
Back
Top Bottom