Hatujakataa lakini Mtani.Wanajifanya hawajui huku wakijikita na mambo mengine, kumbe habari tunazo..Gongowazi Wametapishwa Nyongo
Mwache shemela wangu.Shadeeya mbona utulivu umetamalaki sana ukanda huu wa pwani ya Dar es salaam kulikoni?
Au wasiwasi kuelekea 4, January 2020?