Peruzi Facebook/Twitter na Wikipedia; MB500 kwa siku kwa Tsh 100 au GB3 kwa mwezi kwa Tsh.1,000 tu. Piga*149*01#, chagua Intaneti & BlackBerry kisha Intaneti.HII NDO INELET SASA KWA WAJANJA,NAZAMA MITINI NTARUDI
Nimeitest kwa kuinunua na kuifanya simu yangu kuwa internet hotsport na nikakonect android tablet nimesurf speed yake ni nzuri tu na unaweza downlaod.nnatumia Blackberry 9360.