Ukiwa na sh 50 tu unaongea na mtu mmoja "unlimited calling" 24hrs kwa kupiga *804*1*namba#
kama hiyo ikikataa ipo hii tena
ukiwa na sh 75 unaongea tena na namba moja 24 hrs kama hapo juu ila utakatwa 75 badala ya 50. *801*1*namba# ila nadhani inachagua baadhi ya namba lakini kwangu mimi huduma zote zinakubali kwenye laini yangu.
mbona ipo tokea july??kuna namba selected... na sio 24hrs kama hapo awali...siku hz inaishia saa 2359hrs...hivyo hata ukijiunga saa 4 usiku inaisha saa 5 na dkk 45 usiku alafu wanalazimisha...wanakuunga hata kama hutaki
Naomba kuuliza, je hiyo Tsh. 50 au 75 nitakatwa kila siku hata kama sitopiga simu kwa namba hiyo kwa siku husika?
ila unauwezo wa kujiengua tu unaandika *801*2# au *804*2#
Ukiwa na sh 50 tu unaongea na mtu mmoja "unlimited calling" 24hrs kwa kupiga *804*1*namba#
kama hiyo ikikataa ipo hii tena
ukiwa na sh 75 unaongea tena na namba moja 24 hrs kama hapo juu ila utakatwa 75 badala ya 50. *801*1*namba# ila nadhani inachagua baadhi ya namba lakini kwangu mimi huduma zote zinakubali kwenye laini yangu.
hiyo 50 inakalia wapi sasa au ni salio liwe hivyo..
ukijiengua ,siku ukiweka salio,wanakuunganisha tena mkuuu...yaani hadi keroooNimesema kujiengua.