Hata mimi sijamuelewa kwani kaanza na voda wezi halafu kamaliza na tigo wamemuibia. Ila kuna tatizo kwenye hii biashara ya simu. Mimi mwenyewe nilijiunga na extreme. kesho yake nikawa kila pesa nikiweka zinakatwa. Kuuliza wananieleza kuwa labda una deni wakati mimi sijakopa hata mara moja. Wakaniambia labda wanakukata za mlio, wakati mimi sijaomba mlio wowote. Tena ni usumbufu kiasi kwamba hata majibu wanayokupa customer care ni ya kubuni hawana uhakika.nahisi na ww una matatizo...hata maelezo yako yanajichanganya mno....
Mbona kichwa na maelezo yako ni vtu tofauti kabisa.Naomba Msaada, Mimi Nina dual SIM card, Ina voda na tigo, iliyo namba moja ni tigo, Lakini Mara nyingi nakuta hela ya voda imeliwa, na vile vile, nikitaka kutuma tigo pesa nikibonyeza nabata MSG ya m pesa. nadhani tigo wAna mchezo mbaya wanafanya. JIREKEBISHNI TAFADHALI MAANA NITAACHA KABISA KUTUMIA MTANDAO WENU
Naomba Msaada, Mimi Nina dual SIM card, Ina voda na tigo, iliyo namba moja ni tigo, Lakini Mara nyingi nakuta hela ya voda imeliwa, na vile vile, nikitaka kutuma tigo pesa nikibonyeza nabata MSG ya m pesa. nadhani tigo wAna mchezo mbaya wanafanya. JIREKEBISHNI TAFADHALI MAANA NITAACHA KABISA KUTUMIA MTANDAO WENU