Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,345
- 100,328
Kina mvi? Au Kipara? Hahahahahaπ hicho kichwa cha uzi sasa
Hawana bando za gharama vocha si mtihani..Bado mngali Voda tu!??? Jaribuni hata Safaricom basi π
Mpwa nimehama weeeeeeee sasa hawa walikua na nafuu, Tigo wao network yao hadi uwe mjini! Airtel ni ingia toka kama kichaaaDawa yao ni kuhama tu mkuu. Japo mitandao tote tu wako na shida, Ila Voda wamezidi Sana.
Seems wame-out source hii huduma! Kuna kenge mmoja ndio anai-runNdani ya week hii we mtu wapili kuwalalamikia voda. Hama mkuu jaribu mtandao mwingine
Anayejua mtandao wenye bando nzuri anijuze ila sio Voda
Hahaaha baki tu huko huko!Wengine twatoka halotel twahamia Voda so tumejichanganya..π€£
Tumia app ya my Vodacom utaona bundle zako bila hata kuuliza na utanunua vifurushi hukohuko.Seems wame-out source hii huduma! Kuna kenge mmoja ndio anai-run
Mi nafata speed mimi halo naona bando zao za internet wanaweka na uji sikuhizi..πHahaaha baki tu huko huko!
Hawa jamaa mbingu wataiona kwa videoMi nafata speed mimi halo naona bando zao za internet wanaweka na uji sikuhizi..π
Sio video Bali vidiyo kwanza mbingu kwao wataionea kwenye masufuria ya uji.Hawa jamaa mbingu wataiona kwa video
Hahahaaha dah!Sio video Bali vidiyo kwanza mbingu kwao wataionea kwenye masufuria ya uji
Holotel wako poa kiasi. Jaribu mkuu.Mpwa nimehama weeeeeeee sasa hawa walikua na nafuu, Tigo wao network yao hadi uwe mjini! Airtel ni ingia toka kama kichaaa