nilikimbia tigo kwa ajili ya usese kama huu naona na voda nao wameshiba hela wasizolipa kodi, airtell nao majanga tu...cjui nijaribu zali zantel? Mwarabu labda hana tamaa, au sijui niende sasatel? Bt hawa mikoani hawajafika...sijui twende wapi mwe.!!