Joseph Ludovick
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 382
- 506
Leo, nimenunua bando kutokea M PESA. Pesa wamechukua na bando hawakunipa. Nimeongea na wahudumu wanaongea utumbo. Hatimaye kabla hatujaelewana wakakata na kunitumie ujumbe wa kijinga eti wanashughulikia tatizo langu ndani ya saa 24.
Mimi nimenunua bando kwa sababu nina shida kuwasiliana wao wanasema masaa 24. Hela wamechukua na bando sina.
Kwa sababu ya uharaka wa mawasiliano niliyohitaji nikaweka bando lingine. Wananitumia msg kuwa bando imeungwa.
Nafungua data hata dakika haikuisha wananiambia bando limeisha. Napiga simu wananijibu kijinga eti sikujiunga bando wakati na msg ya kuungwa bando wameleta.
Sasa nimehama Mtandao wa wezi. Nimehamia airtel. Najua mitandao yote ni yaleyale, lakini airtel hawajawahi kuniibia kwa mtindo huu. Kwa heri vodacom.