Ha ha haaa! Hata sisi mawakala ndo wanavyotwambiaga hivi! Hivi hela inakaa vipi hewani? Hela ni lazima ukae kwenye account! Kqma haipo kwenye account ya receiver basi imebaki kwenye account ya sender, otherwise ipo kwenye account ya Voda. Sasa inakuwaje hewani? Kwenye account ipi? Inaelea tu! Ha ha haaaaa! Matter core yao Vodacom!Nimewapigia jioni hii wanasema hela iko hewani haijafika kwao wala kwangu haipo hivyo niwe mpole
nunua kwa m-pesaMm nikinunua double bundle huwa siipati hyo double,sijui ni kwangu tu ama.
Bora ww mkuu,mi dada angu aliweka mpesa mil 2 ili ipelekwe bank mana alikua na marejesho,cha kushangaza mpk leo hela haijafika bank toka tr23 ya mwez jun,kafatilia mpk kacho jibu la maana hawana,,na kule bank wataendelea kuhesabu penat kwa kua kachelesha rejesho,yaan hata hatujui tufanyeje