hawa voda ni majanga tuu ,kuanzia m-pesa ada za kutuma ,kutoa pesa zimekuwa mwiba ,na ni heri hata kama unatumapesa utume kwa njia ya benki ,ukatoe kwenye atm at least kiwango chochote unaktwa sh 700 kulikon hawa voda kila kiwango cha hela kina ada yake ,
kingine ni kupunguza dakika ,na mb ,na hii ni sera chafu inayofanywa na maccm walio na hisa kubwa huko voda cz ndo waliona influence kubwa lengo ni kukusanya hela za kampen uchaguz ujao kwa maana nchi wabisan wameaitisha misaada ,kingine ni mbinu chafu za maccm kutotaka transparency ,na quick flow of news and information kwenye hii mitandao ya kijamii inayotumia internet data bundle kama whatsapp ,jamiiforum ,facebook ,instagram na nyinginezo ,
hebu hawa waliona dhamana ya hii mitandao wawajali wateja wao wasifanye mambo kwa maslai ya watu au vikundi fulan