Vodacom mtandao unaoongoza kuwaibia wateja wao

Vodacom mtandao unaoongoza kuwaibia wateja wao

Nafaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
12,157
Reaction score
31,334
Hawa Vodacom yani ukiacha salio hata uzime simu ukija kucheck balance utakuta wamekata ukiwauliza watakupa sababu kibao yani ni wezi hatari.

Sasa kali zaidi wanakifuruhsi chao kinaitwa Dar Super University yani zile sunaelection zinabadirika kila ukirudia ya kwanza inakuwa ya pili ya pili inakuwa ya tatu au nne ya nne ya kwanza na hii muda mwingine wanaifanya kila ukirudia sasa wewe ukiwa ushakalili kuwa unajiunga bundle mfano ya 2 unabonyeza husubiri msg unafungua bundle kumbe unaliwa bila kujua
1578331109655.png

1578331178889.png
1578331109655.png
1578331109655.png
1578331178889.png

yani hii inatokea kila ukirudia na ukienda mbele mara cha buku tano ndiyo krudi cha kwanza.

Halafu hata uchague selection unayohitaji mfano cha 1000 kiko namba 1 ukichagua bado utapokea msg salio lako halitoshi hata kama kuna salio.

Usiposubiri msg ukawahi utashangaa mara gafla hakuna connection kumbe hukuungwa kifurushi.

Mimi kila nikiacha salio dakika 5 tu wanapita na 300 likikaa 1hr hata niwe situmii kabisa nimezima sikuti salio.
 
Hawa jamaa wajirekebishe, mi kuna siku nimeweka vocha kama buk 2 hv ili nijiunge bando la chuo cjui nlizubaa wap nakuja kukuta salio halitoshi kuunga bando wamekata kama 450 hv chap. Nikawavutia waya kutaka maelezo wananiambia ulijiunga na huduma ya Soka Letu aisee na cjawah kujiunga na huduma yyte ya ujumbe mfupi. Niliwamaindi balaa toka siku hyo siweki vocha ikae kizembe kwenye line yangu.
Ila yote na yote Vodacom bado ndio mtandao bora kwa hapa Tz.
Kazi inabaki kua kwako..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubali voda n wezi shida kuna wanahisa vigogo nmeongea na customer care juz usku anajibu fyongo kama kampun ya baba ake
 
Kuna option nilisoma hapa jukwaani ikanisaidia
Piga *149*01*

Chagua 11.huduma xtra

Chagua no.9matumizi bila bando

Chagua no.2 sitisha matumizi bila bando.
 
Kuna option nilisoma hapa jukwaani ikanisaidia
Piga *149*01*

Chagua 11.huduma xtra

Chagua no.9matumizi bila bando

Chagua no.2 sitisha matumizi bila bando.
Nayo ni wizi mtupu,jalibu sasa hivi kama kuna salio hulikuti.
 
Back
Top Bottom