Vodacom msipojirudi nina masaa 48 natupa Line yenu

Hiki mlichotufanyia wakazi wa Dar na superunit yenu, ni ukorofi wa hali ya juu. unatoa GB 3/week/5000 kwa mantiki hiyo mtu atumie 20k/month.
wakati mwanzoni tulikiuwa tunatumia 10k/month japo GB zilikuwa kidogo, nani kawambia zile GB zilikuwa hazitoshi mpaka kuzipandisha na gharam juu.
Mmenikera sana rudisheni bundle letu la 2000/1GB/week au 2500/1.5GB/week. vinginevyo bye bye. vyuma bado vigumu.
View attachment 1025840
Hahahaa..... Chadema mmefulia!!
 
Kazi pakee iliyobaki kwenye line yangu ya voda ni kupokea simu tu.
 
Hiki mlichotufanyia wakazi wa Dar na superunit yenu, ni ukorofi wa hali ya juu. unatoa GB 3/week/5000 kwa mantiki hiyo mtu atumie 20k/month.
wakati mwanzoni tulikiuwa tunatumia 10k/month japo GB zilikuwa kidogo, nani kawambia zile GB zilikuwa hazitoshi mpaka kuzipandisha na gharam juu.
Mmenikera sana rudisheni bundle letu la 2000/1GB/week au 2500/1.5GB/week. vinginevyo bye bye. vyuma bado vigumu.
View attachment 1025840
Makampuni yetu ya simu sijui mshauri wao ni nani, yani kutoka 2500 mpaka elf 5 jinga sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo GB zenyewe ni usanii tu, unaweza fungua watsapp watsapp bundle limeisha.
 
na mbinywe tu hakuna namna angalau unaambulia hicho kidogo.

sisi tuliojinunulia hisa zetu kwa kushawishiwa na soko la hisa Dar sanjari na ushawishi wa kigogo mmoja mkulu aliyenunua hisa za 10m wala hatuna wasiwasi maana tunasubiri gawio NONO! kwa raha zetu na maendeleo ya watoto wetu!
 
Voda wamenichosha mpaka natapika , unanunua kifurushi cha wiki unatumia matumizi yakawaida siku 1,2 ,ya 3 Mungu fungua jamii forum nusu saa gb imeondoka unajiuliza imehamia wapi? Nishawafuata jamani angalieni hata matumizi yangu bla bla kibao sasa sasa hivi naiweka simu ya mezani nitakuwa napokelea tu wahuni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ulikuwepo unaweza kuwa busy baada ya kujiunga ukawa unatumia dk tu, sasa njoo uwashe
Internet fungua jamii forum dakika 20 nyingi hakuna kitu jamani Gb 1 ? Kwasasa inapumzika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom