Vodacom msipojirudi nina masaa 48 natupa Line yenu

Voda situmii tena tokea wiki sasa wameondoa offer za uni, wamepandisha sanaaa, niko tigo tu, voda useless business people kabisa.. Watapoteza wateja wengi mnooo mnoo kwa hiki walichofanya wiki iliyopita..!!
 
Tupa tu kwani wakwanza ww au wa mwisho?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hiki mlichotufanyia wakazi wa Dar na superunit yenu, ni ukorofi wa hali ya juu. unatoa GB 3/week/5000 kwa mantiki hiyo mtu atumie 20k/month.
wakati mwanzoni tulikiuwa tunatumia 10k/month japo GB zilikuwa kidogo, nani kawambia zile GB zilikuwa hazitoshi mpaka kuzipandisha na gharam juu.
Mmenikera sana rudisheni bundle letu la 2000/1GB/week au 2500/1.5GB/week. vinginevyo bye bye. vyuma bado vigumu.
View attachment 1025840
Sasa ni saa ya 12,zikifika 48 nitarudi kukuliza kama umeshatupa...,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki mlichotufanyia wakazi wa Dar na superunit yenu, ni ukorofi wa hali ya juu. unatoa GB 3/week/5000 kwa mantiki hiyo mtu atumie 20k/month.
wakati mwanzoni tulikiuwa tunatumia 10k/month japo GB zilikuwa kidogo, nani kawambia zile GB zilikuwa hazitoshi mpaka kuzipandisha na gharam juu.
Mmenikera sana rudisheni bundle letu la 2000/1GB/week au 2500/1.5GB/week. vinginevyo bye bye. vyuma bado vigumu.
View attachment 1025840

Hata airtel wamefanya hivi hivi...halafu wanafanya kimya kimya maana wanajua ni wana wakiwa...tutapiga kelele na serikali haitoshughulika baada ya muda tutasahau na kuendelea na kunyonywa tu!
 
Hiki mlichotufanyia wakazi wa Dar na superunit yenu, ni ukorofi wa hali ya juu. unatoa GB 3/week/5000 kwa mantiki hiyo mtu atumie 20k/month.
wakati mwanzoni tulikiuwa tunatumia 10k/month japo GB zilikuwa kidogo, nani kawambia zile GB zilikuwa hazitoshi mpaka kuzipandisha na gharam juu.
Mmenikera sana rudisheni bundle letu la 2000/1GB/week au 2500/1.5GB/week. vinginevyo bye bye. vyuma bado vigumu.
View attachment 1025840
Kabla ya kuitupa njoo nikuunganishe iwe ya chuo kidogo huko kuna ahueni
 
Tunawapunguzia muda wa kukaa mtandaon ili mkafanye kazi.
Maana tumezuia ile mijadala mkaihamishia mitandaon,sasa hiyo ni mwanzo tu.
Coming soon.
Mb10=1000
Mb 100=3500
Mb 500=5000
GB 1= 10000
Msisahau kujiratibu tujue kazi zenu.
Chelsea 0 man utd 2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Voda majizi hatari hata Bank transfer wanacharge kama huna air time hata kama una kifurushi lazima tena uwe na airtime ili wakate sio hivyo kwa mitandao mingine.
 
Back
Top Bottom