Vodacom msipojirudi nina masaa 48 natupa Line yenu

Ata Halotel nao walibadili kimiakimia bada ya sh, 15,000/kupata Gb1 na dakika 200 Halotel +Halotel na dakika 20 mitandao yote kwa week. Sasa ivi wanakupa MB 800.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tigo

1ooo GB 2 kwa siku 2
15oo GB 1.2 SMS 15oo Dkk 215 siku 3
2ooo GB 1.2 SMS 15oo Dkk 215 siku 7

Sema bundles za mwezi kwa TIGO NI HAPANA
 
Hiki mlichotufanyia wakazi wa Dar na superunit yenu, ni ukorofi wa hali ya juu. unatoa GB 3/week/5000 kwa mantiki hiyo mtu atumie 20k/month.
wakati mwanzoni tulikiuwa tunatumia 10k/month japo GB zilikuwa kidogo, nani kawambia zile GB zilikuwa hazitoshi mpaka kuzipandisha na gharam juu.
Mmenikera sana rudisheni bundle letu la 2000/1GB/week au 2500/1.5GB/week. vinginevyo bye bye. vyuma bado vigumu.
View attachment 1025840
Wanakera sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom