Troojan
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 967
- 681
Vodacom mmekua na kaupuuzi sana kwenye application yenu ya mpesa...yaaan mtu unaweza kutuma pesa kabisa kwa Mpesa Application ikakwambia 'Apology muhamala umeshinfikana . Sasa ukisema ngoja nitume kwa tigopesa au mitandao mingine muamala unaenda..baadae inakuja sms kutoka MPESA kuconfirm kua muamala umekubalika na umepokelewa!!..Sasa hii kitu inakela sana na inaleta usumbufu sana..sjui shida ni nini!unajikuta unafanya malipo mara mbili bila kupenda..sasa shida inakuja unaemtumia
kama anakudai hairudi 


kama anakudai hairudi 
