Kwa kweli XP SP3 ni kimeo sana kwa apps nyingi, nilipokuwa natumia nokia PC SUITE sikuweza kufanikiwa kwani ilionesha .sys file ilikuwa ina miss again nilipoenda kwenye Nokia Forums nikakutana na vilio kibao vya SP3. weka xp sp2 mkuu au win 7 japo Ram yako ndogo ila inakaa vizuri na ukiongeza Ram utakuwa juu zaidi! :hat: