Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,450
- 25,155
Kwangu nafuu voda kuliko halotelVoda wabaki kwa ajili ya calls na miamala.kwa bando hawa jamaa hawafai.kwanza wanakata mb kama simba mwenye njaa na bei za bundle ni hedache
Sent using Jamii Forums mobile app
Embu nisaidie mkuu jinsi ya kujiunga kifulush cha TTCLNimeamua kuunga mkono na kuwa mzalendo kwa kununua line ya nyumbani, TTCL. Ila sasa najuta, yaaani hiyo 4G mpaka ukae katikati ya mji, kilometa 5 tu nje ya mji hupati hata 2G..!!!. Inasoma E.
Hapa nimemeza panadol nipunguze maumivu ya kichwa yanayosababishwa na matatizo ya hii mitandao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halotel sijawahi watumia nasikia speed yao n balaa.Ila internet zenye kasi nzuri na mb zinatembea sana.ila hata kama n speed voda wamezd.nikigusa IG kidogo unashangaa sms hyo gb 1 kwisha
Halotel wanakula mb kwa spidi ya drimulaina usiombe mkuu yaani voda mb 300 naangalia mpira full time na bado zinabakia za kuperuzi halotel mb 300 naangalia dakk 50 tu kwishaaa yaani wanatafuna haswaHalotel sijawahi watumia nasikia speed yao n balaa.Ila internet zenye kasi nzuri na mb zinatembea sana.ila hata kama n speed voda wamezd.nikigusa IG kidogo unashangaa sms hyo gb 1 kwisha
Sent using Jamii Forums mobile app



ni hatali
Halotel wanakula mb kwa spidi ya drimulaina usiombe mkuu yaani voda mb 300 naangalia mpira full time na bado zinabakia za kuperuzi halotel mb 300 naangalia dakk 50 tu kwishaaa yaani wanatafuna haswa
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi nilikua naitumia hio ya 2000, mimi nilikua mdau tangu enzi zile wanauza 1000 tshs dakika 50 kwa wiki na 2000 wanakupa GB 3 maisha yalikua poa hio ni 2017-2018 aisee wakaja kuleta ya 2500 nikawa naunga sema toka wameweka 5000 nimejiunga mara moja tu..nilinunua MIFI router nimeweka laini ya TTCL sasa hivi nakula boom data pack 5000 GB 5 kwa mwezi lakini hua haifiki hata wiki ila ndo sina namna inabidi niunge maisha sasa hivi ni murua nahisi kama vile nipo Guangzhou...Mie hawa watu niliamua kuachana nao kitambo, walikuwa wananipa 3gb/7days 2000/= kwenye ya kwako tu, nikaa nayo kama miezi nane hadi nikaona maisha si ndio haya....wakanitoa hapo ghafla wananipa 10 gb/7@10000/= niliwapigia majibu yao kama vile sijui kitu gani....niliboreka sana....nikaamua kufa na airtel wao angalau....mwisho wa siku nikaona nijiunge pia na ttcl so nasonga hivyo ...kukizingua air narudi boompack....ila voda sina hamu tena...
Sasa si wa nanjilinji huku tukinunua hiyo si itakua sawa na bureNimeamua kuunga mkono na kuwa mzalendo kwa kununua line ya nyumbani, TTCL. Ila sasa najuta, yaaani hiyo 4G mpaka ukae katikati ya mji, kilometa 5 tu nje ya mji hupati hata 2G..!!!. Inasoma E.
Hapa nimemeza panadol nipunguze maumivu ya kichwa yanayosababishwa na matatizo ya hii mitandao.
Sent using Jamii Forums mobile app
IG inakula bando si utaniHalotel sijawahi watumia nasikia speed yao n balaa.Ila internet zenye kasi nzuri na mb zinatembea sana.ila hata kama n speed voda wamezd.nikigusa IG kidogo unashangaa sms hyo gb 1 kwisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa si bora uunge la wiki tu sasaBinafsi nilikua naitumia hio ya 2000, mimi nilikua mdau tangu enzi zile wanauza 1000 tshs dakika 50 kwa wiki na 2000 wanakupa GB 3 maisha yalikua poa hio ni 2017-2018 aisee wakaja kuleta ya 2500 nikawa naunga sema toka wameweka 5000 nimejiunga mara moja tu..nilinunua MIFI router nimeweka laini ya TTCL sasa hivi nakula boom data pack 5000 GB 5 kwa mwezi lakini hua haifiki hata wiki ila ndo sina namna inabidi niunge maisha sasa hivi ni murua nahisi kama vile nipo Guangzhou...
Yaani zinayeyuka kuzidi hata barafu, kifurushi cha wiki unatumia siku moja what app kesho unafungua Jamii Forums hakipo, mie nimepumzika na voda kwa sahizi naitumia kama simu ya mezani, walianza na 1500, ghala 2000 sijakaa sawa 2500, nikavumilia duu wiki mwezi naanza kununua inagoma duu kuja kuangalia 5000,


nikaiweka pembeni basiWanakulia timingHawa kila mtu na bando lake mimi napata 3.7gb na dak 350 voda voda na 20 mitandao yote kwa 5000
Sent using Jamii Forums mobile app
Duu nimeamini kila shetani na mbuyu wakeHalotel wanakula mb kwa spidi ya drimulaina usiombe mkuu yaani voda mb 300 naangalia mpira full time na bado zinabakia za kuperuzi halotel mb 300 naangalia dakk 50 tu kwishaaa yaani wanatafuna haswa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie baada ya kuona 5Gb haitoboi mwezi, naunga ya Gb3 kwa 2500 kwa wiki, ambapo mara mwezi unaona angalau kuna unafuu...kwa mzigo mkubwa naunga toboa night nashusha kinachowezekana ....Binafsi nilikua naitumia hio ya 2000, mimi nilikua mdau tangu enzi zile wanauza 1000 tshs dakika 50 kwa wiki na 2000 wanakupa GB 3 maisha yalikua poa hio ni 2017-2018 aisee wakaja kuleta ya 2500 nikawa naunga sema toka wameweka 5000 nimejiunga mara moja tu..nilinunua MIFI router nimeweka laini ya TTCL sasa hivi nakula boom data pack 5000 GB 5 kwa mwezi lakini hua haifiki hata wiki ila ndo sina namna inabidi niunge maisha sasa hivi ni murua nahisi kama vile nipo Guangzhou...