VODACOM mnatusumbua wateja wenu

VODACOM mnatusumbua wateja wenu

Zero Competition

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2018
Posts
347
Reaction score
556
Siku chache zilizopita waliondoa kifurushi cha 2500 wakaleta cha 5000.Tukalalamika weeee mwishowe tukaanza kuzoea hiki cha 5000.

Leo nimeingia kwenye menu yao nijiunge cha 5000 nakuta wamekiondoa na matokeo yake wamekirudisha tena cha Tshs 2500 cha wiki tena kikiwa na GB moja tu ya internet.

VODACOM mnakwama wapi ?

Kwanini msiwe mnaweka tu virushi ambavyo vitakua na uwezo wa kukaa hata mwaka bila kuvibadirisha kila baada ya muda mfupi kama mfanyavyo sasa hivi

Badilikeni jamani kama mnatusikia wateja wenu
 
Nimeamua kuunga mkono na kuwa mzalendo kwa kununua line ya nyumbani, TTCL. Ila sasa najuta, yaaani hiyo 4G mpaka ukae katikati ya mji, kilometa 5 tu nje ya mji hupati hata 2G..!!!. Inasoma E.
Hapa nimemeza panadol nipunguze maumivu ya kichwa yanayosababishwa na matatizo ya hii mitandao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawajarudisha
 
Attachments

  • Screenshot_20190416-111746_Phone.jpg
    Screenshot_20190416-111746_Phone.jpg
    79.5 KB · Views: 30
Mie hawa watu niliamua kuachana nao kitambo, walikuwa wananipa 3gb/7days 2000/= kwenye ya kwako tu, nikaa nayo kama miezi nane hadi nikaona maisha si ndio haya....wakanitoa hapo ghafla wananipa 10 gb/7@10000/= niliwapigia majibu yao kama vile sijui kitu gani....niliboreka sana....nikaamua kufa na airtel wao angalau....mwisho wa siku nikaona nijiunge pia na ttcl so nasonga hivyo ...kukizingua air narudi boompack....ila voda sina hamu tena...
 
Nimeamua kuunga mkono na kuwa mzalendo kwa kununua line ya nyumbani, TTCL. Ila sasa najuta, yaaani hiyo 4G mpaka ukae katikati ya mji, kilometa 5 tu nje ya mji hupati hata 2G..!!!. Inasoma E.
Hapa nimemeza panadol nipunguze maumivu ya kichwa yanayosababishwa na matatizo ya hii mitandao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijaribu nikaitupa faster
 
Naona na free facebook wameichomoa

Wakioondoa na JF freebasics tumekwisha...

😋😋
 
Laini za urithi hizo anyway karibu Tigo bora mtandao usumbue ila unafanya cha maana na kuliko mtandao hausumbui ila mb 70. Voda yangu ipo hivi (ofa maalumu) 100 Mb Tsh 500 24 hrs, 100 Mb Tsh 1000 1 week, 100 Mb Tsh 2000 1 month. Sasa hapo utanunua kipi uache kipi. Sasa Tigo Tsh 500 ni 60 dk( Tigo-Tigo), 5 dk(Mitandao yote) 500 sms na 550 Mb for 24 hours. Mara ya mwisho voda hela ilikuwa mwakajana nliponunua mb zao just because nlishindwa rusha 500 kwenda Tigo, ningerusha isingefika 500.
 
Siku chache zilizopita waliondoa kifurushi cha 2500 wakaleta cha 5000.Tukalalamika weeee mwishowe tukaanza kuzoea hiki cha 5000.

Leo nimeingia kwenye menu yao nijiunge cha 5000 nakuta wamekiondoa na matokeo yake wamekirudisha tena cha Tshs 2500 cha wiki tena kikiwa na GB moja tu ya internet.

VODACOM mnakwama wapi ?

Kwanini msiwe mnaweka tu virushi ambavyo vitakua na uwezo wa kukaa hata mwaka bila kuvibadirisha kila baada ya muda mfupi kama mfanyavyo sasa hivi

Badilikeni jamani kama mnatusikia wateja wenu
Samehe saba mara sabini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vodacom ni wasanii ,wezii ,hawajali wateja wao,naona kinachowatia kiburi ni wingj wa wateja,tumeni malalamiko kwa mange kimambi aendeshe kampeni ya hama vodacom ,ila usisahau kumwambia afiche ID yako
 
wanarudisha pesa za kisutu za maneja wao

Back
Top Bottom