Vodacom mnashindwa kutujali wateja wenu

Vodacom mnashindwa kutujali wateja wenu

sigitoro

Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
68
Reaction score
6
Nimetoka Arusha niko sehemu moja hv Inaitwa Igurusi-Mbarali Mbeya kwa shughuli za kikazi kotoka arusha nimejiunga na bando ya mwezi mzima voda,bt chakushangaza baada ya kufika kwenye huu mji ambao ni mkubwa watu weng na unachuo cha kilimo hakuna access hat tone ya internet na wakazi wa hapa wanalalamika kuwa toka muda internet inagoma kufanya kazi so wanakosa mawasiliano ya muhimuu na kuwalazimu watu kuanza kuhamia YATOSHA so jitahidini mje kurekebisha internet la cvyo mtazidi kuwa looser badala ya kugain na nasikitika sana bando yang ya mwez inakatika tu na ndy nilikua nimeanza kutumia.
 
Mimi kinachoniumiza zaidi kwa hawa Voda ni kuchelewa kutuletea 3G huku Tarime na ilihali mikoa mingine watu wanaEnjoy kwelikweli. Hey, halooo! Mko wapi Vodacom? Isije ikawa labda wamehama mi napiga makelele tu.
 
Back
Top Bottom