OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Wahuni kwani kidogo? Maana in fact wamecheki wakaona kuanzia 5pm to 9pm watu wengi wanakuwa na nafasi ya kuongea na simu wakaona wai-exclude. Ukirequest balance wanakuwekea hako katangazo kao ka habari ndio hii na wanasema exclude 5-9pm.Ndugu zangu kuna hii promosheni ya habari ndio hio ya kuongea tsh1 kwa sekende wao (voda) wanasema tutatumia Tsh1 kwa Sekunde kwa siku nzima. jana nikaweka line yangu ya voda na kuweka vocher ya 10,000 nikaongea kwa muda mfupi voda kwenda voda ikaisha, nikawapigia customer care wakasema promotion hiyo inakatika saa 11 hadi saa tatu usiku, lakini katika matangazo yao wana mislead watu kwa kusema ni kwa siku nzima. ndugu zangu huu uhuni wa kudanganya watumiaji voda wataacha lini
wahuni kwani kidogo? Maana in fact wamecheki wakaona kuanzia 5pm to 9pm watu wengi wanakuwa na nafasi ya kuongea na simu wakaona wai-exclude. Ukirequest balance wanakuwekea hako katangazo kao ka habari ndio hii na wanasema exclude 5-9pm.
The best way ya kuwafundisha adabu ni kutumia voda muda wowote other than 5-9pm and then kwa muda huo unatumia tigo then watashika adabu wataacha ujinga.
Kwani..si walikuwa hawataki mambo ya sh 1 kwa sekunde wakijivunia kuwa na wateja wengi ... What do u think happenned? Watu wamenunua line za tigo wakapunguza matumizi kwenye voda big time hadi wenyewe wamechemsha wameamua kufuata mwongozo wa tigo japo kwa shingo upande!
That's the beauty of competition. Siku za mwizi ni 40. Watarudi kwenye mstari tu!
Kama ni hivyo basi ni wizi mtupu..matangazo yao hayakuweka hiyo limit ya muda
Sio hao tu. Hata TIGO sio rahisi kupata Mini xtreme. Kila ukitaka kujiunga unaambiwa nafasi zimejaa. Hata kama itakuwa saa sita usiku. Sasa nafasi hizo zinajaa saa gapi?
Ndugu zangu kuna hii promosheni ya habari ndio hio ya kuongea tsh1 kwa sekende wao (voda) wanasema tutatumia Tsh1 kwa Sekunde kwa siku nzima. jana nikaweka line yangu ya voda na kuweka vocher ya 10,000 nikaongea kwa muda mfupi voda kwenda voda ikaisha, nikawapigia customer care wakasema promotion hiyo inakatika saa 11 hadi saa tatu usiku, lakini katika matangazo yao wana mislead watu kwa kusema ni kwa siku nzima. ndugu zangu huu uhuni wa kudanganya watumiaji voda wataacha lini

Nazichukia sana kampeni zote hizi za makampuni ya simu. Watanzania mtahamahama mara ngapi mkifuata mtelemko? If they are really customer focused, waje na kiwango kimoja, cha chini, kwa makampuni yote muda wote.
Hali ya sasa, mteja mmoja anaibiwa, faida ya wizi inasambazwa kwa wateja wengine.
Mimi sihami, nilikoanzia ni hukohuko.
Sidanganyiki