Habari wana jukwaa nimefungua Uzi huu kwa sababu imeniuma sana mpaka sasa sijapata ufumbuzi wa tatizo
*********†**************†
Huduma za vodacom mpesa now zimekua shida nimetuma pesa tarehe 4/8/2017 zaidi ya siku NNE haijamfikia mlengwa husika kutoka Tanzania to Kenya Leo tarehe7/8/2017 wananirudishia sms yenye muamala ambao umefanyika tarehe4 /8/ 2017 but muhusika kenya hajapata sms yoyote ...sijui shida nini hata hao IT wao wanafanya nnwanashindwa kusolve tatizo
..kabla niliwauliza majibu yao
Muamala uko hewani subili kuanzia sasa utapata sms..
Weekend huwa mtandao unasumbua...
Subili ndani ya siku nne..
Majibu hayo najibiwa utafikili pesa nilikosea kutuma wakati nilituma kwa uhakika ..