Nimeweka vocha ya elfu2 kucheki Salio mda huo huo nikakuta 1,664 kweli hili kampuni jizi....jihadharini nalo.
Nimeweka vocha ya elfu2 kucheki Salio mda huo huo nikakuta 1,664 kweli hili kampuni jizi....jihadharini nalo.
Hivi tcra hawapo au ---------- ili kufumbia macho wizi huu. wk iliyopita nilitumia mpesa kwa namba mbili tofauti za airtel. hadi sasa pesa haikufika ilikokuwa inaenda na wala haijarejeshwa kwenye acct yangu hata baada ya siku saba kuisha. Huu ni wizi na haukubaliki
Nimeweka vocha ya elfu2 kucheki Salio mda huo huo nikakuta 1,664 kweli hili kampuni jizi....jihadharini nalo.
...sio wezi per see, nilichogundua wengi wetu tunatumia simu za smart (smart phone) bila ya kujua jinsi ya kui "utilise" hasa kwenye suala zima la "net" mtandao.....iko hivi..smart phone zenye 3G ikiwa activated, kama haujajiunga na bundle then ukaweka credit, "LAZMA UKATWE" maana simu ina automatic updates, so ukicheki salio unakuta linaisha kila baada ya muda, nlishawahi kulalamika sana miaka ya nyuma, lakini baadaye nikaja jua tatizo, so ukitaka usikatwe, wewe jiunge na bundle, au deactivate 3G, utumie 2G, ikikushinda kabisa deactivate data...
...so the problem is within ours, (mashkolo mageni)
uwe unazma Internet kwanza uongezapo salio
Kwanamna hii wakituibia watz mil2 370 tsh wanashingapi?lazima nitawahama ...