Inabdi niulize tu maana sasa Voda hawazingui ilaa hawa wapuuzi wanaotumia voda hadi leo huku wanalalamika ndo wanakera maana wamekuwa wengi balaa...!! Voda tumia kwa mpesa tu labdaaa
Shogaa uzi umefutwaa [emoji3]
Wajinga Sana hao nishawahama tangu juzi
Mimi kama mtandao hauvutii natupa line. Hata huwa sijiulizi mara mbilimbili.
Mimi nipo zangu Nyumbani(TTCL) naunga juhudi za serikali ya awamu ya tanoTangu wanipe gb 1.2 kwa 3000,nimerudi halotel
Nakuona mzalendo upo kaziniNipo zangu zantel huku hakuna shida kabisa..... Wakizingua zentel naenda kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya tano
Sio haba, japo baadhi ya maeneo inakuwa lowSpeed yake unaionaje mkuu.
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] Kabisa mkuu yaani mimi ni mzarendo kwerikweri (in jiwe's voice)Nakuona mzalendo upo kazini
Halotel 1GB 1000/= wiki
kupitia halopesa1500
1gb + 500mb wiki au sijui iko chako hebu nijuze unajiungaje
Maana wamepandisha na wao
Nipo Nyumbani(TTCL) mkuu naunga juhudi mkono, 2GB kwa 2000/= kwa wiki.
Vodacom nitaendelea nao kwenye M-Pesa tu
Piga *148*30*35#Mbona hiyo sijaona mkuu ktk menu yao tafuta sana yaani
Piga *148*30*35#
Imetiki?Shukrani sna mkuu
Vodacom kama mnausoma huu uzi inabidi mrudishe vifurushi vya uni offer,wateja wenu wanalalamika,muda si mrefu mtakosa watumiaji maana tunahamia mitandao mingine
RUDISHENI VIFURUSHI VYA UNI OFFER
Card yako ina walau 1$ ? kama haina weka pesa kisha jaribu tena.Nimekua natumia huduma ya vodacom mastercard kwa muda sasa kwaajili ya kufanya malipo mbali mbali kupitia mtandao wa paypal lakini tangu juzi kila nikijaza details za card kwaajili ya kuadd card kweny account yangu ya paypal inafeli kama inavyoonyesha hapa chini.Nikajaribu kufuta card nilokua nayo na ku create nyingine lakin bado tatizo ni hilohilo.Kwa mwenye ufumbuzi juu ya tatizo kama hili naomba anisaidie