CHIBE BOYS
Member
- Apr 20, 2019
- 91
- 118
Labda maneno ya Mwana Harakati Huru ya kugundua kuwa VODACOM ni mali YETU, sasa wameanza kuzingua kabla haijarudishwa kwa wenyewe wa kweli.Kwa kweli wamezingua
TTCL ina speed ya konokono
Kifurushi changu kinaisha leo cha 3000/= kwa 2GB, ila sasa wameshusha hadi 1.2GB kwa 3000/=
Nipo hapa nyumbani(TTCL) ni kitendo cha kufungua mlango na kuanza kuunga juhudi mdogo mdogo.
Vodacom Tanzania endeleani na kiburi chenu
Tiyr mkuu ishardVodacom kama mnausoma huu uzi inabidi mrudishe vifurushi vya uni offer,wateja wenu wanalalamika,muda si mrefu mtakosa watumiaji maana tunahamia mitandao mingine
RUDISHENI VIFURUSHI VYA UNI OFFER
Nilijua kwangu tu, kumbe ni nchi nzima duh huu sio mtandao sasaVodacom kama mnausoma huu uzi inabidi mrudishe vifurushi vya uni offer,wateja wenu wanalalamika,muda si mrefu mtakosa watumiaji maana tunahamia mitandao mingine
RUDISHENI VIFURUSHI VYA UNI OFFER
Bakini huko huko,maana huku tukiwa wengi speed yetu itakua kama ya kono konoVodacom Tanzania tunawahama mmmezidii aisee tunahamia zetu TTCL
Mkuu ukiipata na bundles zake naomba unitag mi bundle langu la voda ni kesho,nimeangalia menu yao naona nitafute alternative nyingine, miaka 16 na Vodacom Tanzania inatoshaKifurushi changu kinaisha leo cha 3000/= kwa 2GB, ila sasa wameshusha hadi 1.2GB kwa 3000/=
Nipo hapa nyumbani(TTCL) ni kitendo cha kufungua mlango na kuanza kuunga juhudi mdogo mdogo.
Vodacom Tanzania endeleani na kiburi chenu
Nipo Nyumbani(TTCL) mkuu naunga juhudi mkono, 2GB kwa 2000/= kwa wiki.Mkuu ukiipata na bundles zake naomba unitag mi bundle langu la voda ni kesho,nimeangalia menu yao naona nitafute alternative nyingine, miaka 16 na Vodacom Tanzania inatosha
Karibu nyumbani tufurahie juhudi za serikali ya awamu ya 5 chini ya Mkemia wetu mkuuYaan gharama kubwa mno leo mi nahamia TTcl tu kwa kweli kuna mtu anafurahia tu gharama nafuu