Babu wa Loliondo
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 323
- 106
- Thread starter
-
- #61
Tena ukisoma vizuri hio tofaut ya faida ilisababishwa na hasara kwenye kampuni yake ya minara Helios Towers ambayo wameamua kuuza hisa zao na kuachana nayo,vinginevyo ni uwekezaji mzuri sana,tukizubaa tutakuja sikia baadae akina Manji ndio wana hisa za kutosha huko na kama kawaida yetu tutalalamika kana kwamba tulikatazwa kuwekeza wakati fursa tulipewa tukaipuuzia.Mkuu mimi binafsi naona ni opportunity nzuri sana kuwekeza kwenye Telecoms. nilitumiwa prospectus yao nikaisoma ipo vizuri wanatengeneza profit baada ya kodi ni bil. 29. ingawa imeshuka kutoka bil 32 mwaka 2015 na bil 128 mwaka 2014. hii inatokana na competition kuwa kubwa lkn wanaongoza kwenye market share. na pia ukiongelea Vodacom unaongelea global kila mtu anaitolea macho. Dividend ni 50% profit itakayopatikana kwa mwaka. Najua wengi wetu ni speculators na tunategemea price appreciation ili kufaidika. Vodacom haitofilisika leo wala kesho na kama opportunity kama hii ikipatikana ya ku participate katika IPO sio ya kuacha wakuu.
Sijui kuna nini
nimeenda Crdb wanasema Vodacom hisa hawajui lolote
nasikia ni bank moja tu NBC ndo watauza
sijaelewa kuna nini?
Halafu kumbe market share ya voda ni 31 tu asilimia?
na Tigo 29? tofauti ni asilimia 2 tu?
Voda si waliwahi kushika soko zaidi ya asilimia 50?
Naona kama hizi hisa zina longo longo hivi...
Pole sana mkuu!Hallo vipi hawa voda wezi sana unajua ? Msidanganyike bora ununue kwa njia ya bank kuliko mtandao waooo mnaibiwa wakuuu nimepigwa buku tano ya fasta kujisajiri tu ...
Vodacom hawajawahi kufikisha market share 50%Sijui kuna nini
nimeenda Crdb wanasema Vodacom hisa hawajui lolote
nasikia ni bank moja tu NBC ndo watauza
sijaelewa kuna nini?
Halafu kumbe market share ya voda ni 31 tu asilimia?
na Tigo 29? tofauti ni asilimia 2 tu?
Voda si waliwahi kushika soko zaidi ya asilimia 50?
Naona kama hizi hisa zina longo longo hivi...
Hizi hisa hata sio ghali,angalia jedwali la bei ya hisa ya makampuni mbalimbalkila mimi bado nahsi ni ghali kidogo na sijui zinaeza kwenda mpaka wapi kwasasa
Mkuu si ghali kama unavyofikiri. Swissport alianza kuuza kwa Tshs. 225 kwa hisa mwaka 2003 leo anauza kwa Tshs. 5,400.ila mimi bado nahsi ni ghali kidogo na sijui zinaeza kwenda mpaka wapi kwasasa
Hivi unaruhusiwa kununua kwa installments?Mfano ununue kadhaa wiki hìi halafu ununue tena nyingine wiki ijayo?Mkuu si ghali kama unavyofikiri. Swissport alianza kuuza kwa Tshs. 225 kwa hisa mwaka 2003 leo anauza kwa Tshs. 5,400.
Unaruhusiwa cha msingi utajaza form tofauti kulingana na kiasi ulicholipiaHivi unaruhusiwa kununua kwa installments?Mfano ununue kadhaa wiki hìi halafu ununue tena nyingine wiki ijayo?
Ni ngum kuchambua yote,cha msingi ungeuliza vipengele ambavyo kwako haviko sawaNapendekeza wenye ufaham zaidi na waliochambua prospectus has financial statements watuelimishe zaidi kidogo.
Maximum individual share ya hisa ni ngapNi ngum kuchambua yote,cha msingi ungeuliza vipengele ambavyo kwako haviko sawa
Hakuna maximum limit ila kiwango cha chini ni 100Maximum individual share ya hisa ni ngap
Ukiangalia kesi nyingi Vodacom,TRA na wengineo kama wafanyakazi kama wakishindwa ni zaidi ya billion 100. Faida ya 124bn 2014 na kushuka mpaka 32bn mwaka 2015 hapa na mashaka kidogo kama ni hiyo minara peke yake.Tena ukisoma vizuri hio tofaut ya faida ilisababishwa na hasara kwenye kampuni yake ya minara Helios Towers ambayo wameamua kuuza hisa zao na kuachana nayo,vinginevyo ni uwekezaji mzuri sana,tukizubaa tutakuja sikia baadae akina Manji ndio wana hisa za kutosha huko na kama kawaida yetu tutalalamika kana kwamba tulikatazwa kuwekeza wakati fursa tulipewa tukaipuuzia.
Yah inaruhusiwa kaka. Kiwango cha chini ni hisa 100 so unaweza kununua kidogo kidogo mpaka soko litakapofungwa tarehe 19 april.Hivi unaruhusiwa kununua kwa installments?Mfano ununue kadhaa wiki hìi halafu ununue tena nyingine wiki ijayo?
Ukiangalia kesi nyingi Vodacom,TRA na wengineo kama wafanyakazi kama wakishindwa ni zaidi ya billion 100. Faida ya 124bn 2014 na kushuka mpaka 32bn mwaka 2015 hapa na mashaka kidogo kama ni hiyo minara peke yake.
Mkuu Nitumie na hapa, 0676 110 6180716479547 mkuu no yangu hyo ya watsap. Nitumie.
Ninayo Prospectus na hayo
Ndio Matawi yote NBC unapoweza nunulia hisa.
Gawio sio kama mshahara utaupata kila mwezi,bali gawio hulipwa mwisho wa mwaka baada ya kampuni kujua faida kias gani imepatikana baada ya kulipa kodi,na kiwango chake hutegemea na ukubwa wa faida kwa huo mwaka husika.Naombeni kufaham kwa hiyo ukiwa n hisa 100 ambayo ni kiwango cha cchini gawio huja kiasi gani?na je huwa hakhna magawio kwa kila mwezi?