Wakuu! nina moderm ya vodacom kwa ajili ya internet wakati sipo ofisini, lakini pia gharama zao zipo juu, sasa je ni provider gani ambaye internet is cheapest?
siku za nyuma kuna jamaa mmoja alipost mbinu fulani za kutoa lock ili moderm ya vodacom iweze kutumika pia kwa ajili ya zantel na zain kwa internet, kwa bahati mbaya sana nimesahau jinsi ya kutoa zile lock na nimejaribu kusearch ile post nimeshindwa. Kwa hiyo yeyeto mwenye link ya ile post anitumie (PM) au yeyete mwenye hizo techniques za kutoa lock anieleweshe. Nahitaji kutumia lain zaidi ya moja kwenye modem moja ya vodacom.
Nawakilisha
Mimi ninayo USB modem ya CDMA ya ttcl na nataka nitumie Zantel nafanyaje?Pia utueleze no GSM au CDMA?
Mimi ninayo USB modem ya CDMA ya ttcl na nataka nitumie Zantel nafanyaje?
Wakuu! nina moderm ya vodacom kwa ajili ya internet wakati sipo ofisini, lakini pia gharama zao zipo juu, sasa je ni provider gani ambaye internet is cheapest?
siku za nyuma kuna jamaa mmoja alipost mbinu fulani za kutoa lock ili moderm ya vodacom iweze kutumika pia kwa ajili ya zantel na zain kwa internet, kwa bahati mbaya sana nimesahau jinsi ya kutoa zile lock na nimejaribu kusearch ile post nimeshindwa. Kwa hiyo yeyeto mwenye link ya ile post anitumie (PM) au yeyete mwenye hizo techniques za kutoa lock anieleweshe. Nahitaji kutumia lain zaidi ya moja kwenye modem moja ya vodacom.
Nawakilisha
na mimi shida yangu ni kama hiyo ,nisaidie kwa email hii: eliothngumba@gmail.comNitumie imei: Then nitakutumia unlock code