Vodacom huduma kwa wateja

Charity24

Senior Member
Jan 31, 2014
123
250
Ni wazi kwamba linapokuja suala la kupata huduma nzuri hasa zile za kulipia kila mtu angependa huduma bora. Hoja yangu ipo kwenye watoa huduma za mawasiliano kupitia simu za mkononi. Awali nilikuwa mnazi wa tigo lakini kila siku zinavyosona hawa jamaa wanazidi kuwa wababaishaji hasa kukatwa gharama zisizoeleweka. Nikaamua kuegemea zaidi voda na japokuwa hawakosi mapunguf yao lakini naona wao wako smart zaidi. Ukipiga simu kitengo chao cha huduma kw wateja inapokelewa instantly na unapewa majibu ya ukweli bila kusingizia hata kama kuna tatizo hawafichi. Hii imenikuna sana nikaona siyo vibaya kutoa pongez pale zinapostahili kutolewa. Sijui wadau nyie mnaonaje. Airtel sina uzoefu nao.
 

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
18,752
2,000
Mkuu umefungua thread kwa ajili ya kuwasifia voda tu? This can't be Serious mkuu,..


Ngoja na mimi nifungue ya kuwasifia Tigo!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom