Valentineoneday
Member
- May 28, 2011
- 71
- 63
Natumaini hata kwa wateja wengine wa VodaCom mmeshawahi kupigiwa simu na namba hii +255 901761234 ikiwa na matangazo mbalimbali.
VodaCom naomba mtujuze kama mnalipa kodi ya tangazo hili na kwa utaratibu gani?
Maana linakera sana
Sent using Jamii Forums mobile app
VodaCom naomba mtujuze kama mnalipa kodi ya tangazo hili na kwa utaratibu gani?
Maana linakera sana
Sent using Jamii Forums mobile app