Ipo smile..Na ipo vizuriSmile haijafa hiyo?
Sema speed ya internet ya Voda kiboko
Ni kampuni ya mawasiliano kama vodamsaada tafadhali, smile ndo nini?
majambazi haoKifurushi changu pendwa kimeingia doa.
Nikiwa mtumiaji mkubwa wa internet hiki kilikuwa kifurushi changu pendwa.
Tsh. 2500 kwa 500MB ni unrealistic hata kama una hela kiasi gani.
Sitawahama voda, ntaendelea kutumia kwa kupiga na sms.
Ila kwa upande wa internet ntatumia Smile. Kwa Tsh. 14500 napata 10GB ambayo unaipata kwa Tsh. 50K kwa voda.
Kwaheri internet ya voda.View attachment 1138880
DATA DATANI MKUU....YAANI NI MWENDO WA KUDATISHA WATU TU.Kifurushi changu pendwa kimeingia doa.
Nikiwa mtumiaji mkubwa wa internet hiki kilikuwa kifurushi changu pendwa.
Tsh. 2500 kwa 500MB ni unrealistic hata kama una hela kiasi gani.
Sitawahama voda, ntaendelea kutumia kwa kupiga na sms.
Ila kwa upande wa internet ntatumia Smile. Kwa Tsh. 14500 napata 10GB ambayo unaipata kwa Tsh. 50K kwa voda.
Kwaheri internet ya voda.View attachment 1138880
Kama mimiMimi Voda natumia kupokelea tu mtu akinipigia