Kwamba hata wenyewe hawajui ? πitakua unaangalia video zenye quality sana
hamia airtel mkuuYaani tangia jana nimekua na kilio na vodacom kwa upande wa internet, nimejiunga zaid ya mara nne kwa kifurufu cha wiki lakin kila nianza kutumia hata dk haiishinapata msg mb zimekata.
Leo tena hivyo hivyo halafu mbaya zaid hawa customee services hawana msaada napiga kulalamika wanaema itakua unaangalia video zenye quality sana.
Jamani hata hiyo kwa quality ndo 1.5 GB ukiweka tu hata dk moja haiishi imekata, let us all say no kwa wizi huu saizi nimejaribu tigo nione ila voda sirudi tena.
Bado kuna watu mnatumia hilo kimtandaoYaani tangia jana nimekua na kilio na vodacom kwa upande wa internet, nimejiunga zaid ya mara nne kwa kifurufu cha wiki lakin kila nianza kutumia hata dk haiishinapata msg mb zimekata.
Leo tena hivyo hivyo halafu mbaya zaid hawa customee services hawana msaada napiga kulalamika wanaema itakua unaangalia video zenye quality sana.
Jamani hata hiyo kwa quality ndo 1.5 GB ukiweka tu hata dk moja haiishi imekata, let us all say no kwa wizi huu saizi nimejaribu tigo nione ila voda sirudi tena.
Hao nishawakimbia kitambo kisa internetYaani tangia jana nimekua na kilio na vodacom kwa upande wa internet, nimejiunga zaid ya mara nne kwa kifurufu cha wiki lakin kila nianza kutumia hata dk haiishinapata msg mb zimekata.
Leo tena hivyo hivyo halafu mbaya zaid hawa customee services hawana msaada napiga kulalamika wanaema itakua unaangalia video zenye quality sana.
Jamani hata hiyo kwa quality ndo 1.5 GB ukiweka tu hata dk moja haiishi imekata, let us all say no kwa wizi huu saizi nimejaribu tigo nione ila voda sirudi tena.
Si mnamchekeaga nape anavyo wadanganya kuwa bando zimepungua bei eeehYaani tangia jana nimekua na kilio na vodacom kwa upande wa internet, nimejiunga zaid ya mara nne kwa kifurufu cha wiki lakin kila nianza kutumia hata dk haiishinapata msg mb zimekata.
Leo tena hivyo hivyo halafu mbaya zaid hawa customee services hawana msaada napiga kulalamika wanaema itakua unaangalia video zenye quality sana.
Jamani hata hiyo kwa quality ndo 1.5 GB ukiweka tu hata dk moja haiishi imekata, let us all say no kwa wizi huu saizi nimejaribu tigo nione ila voda sirudi tena.
ni wezi sana hawa ila jaribu kufunga app ambazo hutuu kwa wakati huo kama unatumia iphone ingia setting bonya general utaona paleYaani tangia jana nimekua na kilio na vodacom kwa upande wa internet, nimejiunga zaid ya mara nne kwa kifurufu cha wiki lakin kila nianza kutumia hata dk haiishinapata msg mb zimekata.
Leo tena hivyo hivyo halafu mbaya zaid hawa customee services hawana msaada napiga kulalamika wanaema itakua unaangalia video zenye quality sana.
Jamani hata hiyo kwa quality ndo 1.5 GB ukiweka tu hata dk moja haiishi imekata, let us all say no kwa wizi huu saizi nimejaribu tigo nione ila voda sirudi tena.
Nimegairi siji Voda acha nibaki huku huku low budget sitaki matatizo ya kiduanzi Mimi km pesa zinaokotwa,Msemaji wao ni NAPE NNAUYE
Hapa funguka vizuri hapa umeacha mapengo mapengo funguka vizuri hapaMtandao pekee ambao ungesaidia matatzo ya wa TZ katika mawasiliano na internet ni TTCL only sema nayo inaujumiwa na makampun binafsi wakiwemo na hao wakubwa.
Ila lait wangeiachia TTCL uhuru kama ndo mtandao mama ufanye kaz ata iyo 5G isingeletwa na voda maana uo mtandao wa mawasiliano unao milikiwa na TTCL umetoka mbali sana ko wasingeshindwa kitu
Usithubutu kujifunga bando la wiki halotel utalia mdomo juu,Wajinga waliwao njoo halotel ππππ
Kasi ya internet ipo faster sana Airtel na huduma zao ni affordable nnatumia halotel na Airtel Ila sana sana halotelDuuh hao ndo wezi wa kutupwa kabisa ππππ
Halotel sijiungi bando la wiki katu kamwe we endelea labda simu yako Ila simu yangu nikiunga la wiki halifiki siku 2 na matumizi ni yale yale MB 850 bando halivuki 24hrs na ni bando la wiki nikiunga bando la MB 200 haliishi ng'o na bonus wananipa bando likiisha yaan naendelea kutumia bure hata bando likiisha mpaka mda nilionunua bando ukivuka ndio wanazuia MB inabidi ninunue upyaMbona nafanya hivyo daily na hamna shida airtel ndo waizi wakubwa mkuu sijajiunga hata nakuta tayari meseji eti bando yako imeisha daaah so sad π
Halotel ndo walewale, Ila kidogo kwangu TIGO bundle lake haliwahi kukata, kwangu kidogo wamejitahidiKasi ya internet ipo faster sana Airtel na huduma zao ni affordable nnatumia halotel na Airtel Ila sana sana halotel
Halotel sijiungi bando la wiki katu kamwe we endelea labda simu yako Ila simu yangu nikiunga la wiki halifiki siku 2 na matumizi ni yale yale MB 850 bando halivuki 24hrs na ni bando la wiki nikiunga bando la MB 200 haliishi ng'o na bonus wananipa bando likiisha yaan naendelea kutumia bure hata bando likiisha mpaka mda nilionunua bando ukivuka ndio wanazuia MB inabidi ninunue upya
Yaan juzi juzi nimejiunga MB 850 nikaperuzi km masaa 2 hivi issue ni zile zile naperuzi kila siku nikijiunga MB 200 brother after 2 hrs nacheck salio naambiwa zimebaki 300 yaan ndani ya masaa 2 nimekula MB 550 kitu ambacho sio kweli sina matumizi makubwa kiasi hicho matumizi yangu ni MADOGO mno MB 200 kwa siku Mimi simalizi natumia na zinabaki nanunua zingine siku hio wananiambia nimekula MB 550 ndani ya masaa 2 sinunui tena bando la wiki halotel alafu wapo serious kila baada ya mda ukicheck zimebaki MB 230 najiuliza hizi MB zinaenda wapi? Siku ya Pili nacheck naambiwa umebakiwa na MB 66 yaan hizo 66 hata jioni hazikufika wanasema umemaliza kifushi chako cha internet MB 850 siku 2 halotel Qmanyoko