Jamil_Jamal
New Member
- Jan 6, 2024
- 2
- 0
Nenda kwenye Uzi wa vodaHabari naomba Vodacom mnitaftie ufumbuzi kwaninhili tatizo kwangu limekua la kudumu.
Nimelipia Supa kasi Fwa ya 115,000 -up to 20Mbps lakini shida inakuja kila mara mnara unaondoka na ishatokea hivo zaidi ya mara 10. Inanibidi nicheki na watu wenu wa customer service nayo imekua changamoto mtu mmoja tu ndo kaweza kulishulikia kugundua kuaninabidi Profile iwe refreshed.
Muangalia hii shida kwanini mara kwa mara inatokea na murekebishe nishachoka kua changamoto inajirudia na hua inachkua mdaa sanaa mpaka kufanyiwa kazi mpaka net ikarudi.
Vodacom jitahidini kusolve katika hivi vitu mlivo introduce halafu haviko 100% inakua inakula kwetu wateja.
Hilo la 115 mpaka leo Antena yao waligoma kuja chukua imekeaa tu.Hilo bando la 115k limenisumbua sana, yaan huwa linakata tu out of nowhere! Ila toka nimeupgrade kwenda 5g sijakutana tena na hizo changamoto!
Ule ni upuuzi, sijui kwanini huwa hawafati antena zao!Hilo la 115 mpaka leo Antena yao waligoma kuja chukua imekeaa tu.
Inazingua balaa
Kwenye wengi kuna mengi, hu uzi nishautuma na kama unavoona hii shida ipo, wapo wanaochangia kwasababu imewakuta na inasaidia kuelewa walichofanya.Kuna mwenzio alileta uzi humu akisema atawafikisha mahakamani nadhani ni vyema ukaungana nae kuliko kuleta masimango humu
Sawa lakini humu huwezi kupata suluhu kwa matatizo ya Vodacom,wapelekeni mahakamani tuKwenye wengi kuna mengi, hu uzi nishautuma na kama unavoona hii shida ipo, wapo wanaochangia kwasababu imewakuta na inasaidia kuelewa walichofanya.