Vodacom data wamepatwa na nini ?

Vodacom data wamepatwa na nini ?

katutumla

Member
Joined
May 27, 2010
Posts
42
Reaction score
11
WanaJF,

Anayejua kilichowapata Vodacom kwenye data service atufahamishe. Leo ni kama siku ya tano hivi internet yao ipo chini mno yaani ni sawa na hakuna hasa eneo la Kigamboni.
 
WanaJF
Anayejua kilichowapata Vodacom kwenye data service atufahamishe. Leo ni kama siku ya tano hivi internet yao ipo chini mno yaani ni sawa na hakuna hasa eneo la Kigamboni.

Kgamboni mitandao yote hovyo..Airtel walikua vzur ghafla. wmepotea mazma..yan kigambon baba lao ni zantel basi...Zantel wmetisha pande hizi
 
Kila sehemu hata Arusha yaani iko down mpaka wanaboa kabisa ni kama week ya pili hii voda mnaboa sana
 
Kila sehemu hata Arusha yaani iko down mpaka wanaboa kabisa ni kama week ya pili hii voda mnaboa sana

Itakua ni sehem kadhaa tu..ila kiujumla hawa jamaa voda wanafanya vzur kwenye speed zao.
 
Hapa Tunduma vodacom Internet inapatikana asubuhi sana mchana kutwa hamna kitu hadi jioni saa kuminambili.
 
Inasoma 3G au H na H+ lakini signal strength inashuka au kupotea kabisa hivyo internet inakata. Sasa tunaoweka bundle za mwezi inakula kwetu. Hawa jamaa sijui vp.
 
Hili tatzo naon hata tigo wanalo,,,leo cku ya 3 mtandao uko ovyoooooo,,,,
 
Hili tatzo naon hata tigo wanalo,,,leo cku ya 3 mtandao uko ovyoooooo,,,,

Voda nilishaachana nao kitambo. Kila nilivyokuwa naunga bando, inaisha pasipo kutumika. Huu ni mwezi wa nne sasa.
 
Back
Top Bottom