Vodacom acheni Upumbavu!


siku nyingine usijiunge na kamali! fanya kazi bana, acha kuishi mjini kiujanja ujanja!!
 
Lazima kuna ki2 ulicomfirm ndo maana wanakicharge kwa kuingia kwenye bahati nasibu ya Vodafone!
 

mkuu upo wapi wewe??. Kama unapatikana mikoa ambayo wanaofisi zinazotoa huduma wee watimbie tuuu.Mi mwenyewe nishazinguliwa xana na tigo na msg zao za kipuuzi puuzi niliwatimbia mliman city nikawaletea utata nikaingia mpaka kule ndan kabisa wanakojifanya wanakaa wale wataalam talaam kidogo .
 
kAKA SIKUZOTE BEPARI HANA HURUMA NA WEWE MASKINI,ANATAKA AKUNYONYE HATA ILE SENTI YAKO YA MWISHYO ULIYONAYO UTAFIKILI KANAKWAMBA HAWAONIMAISHA NI MAGUMU KWA WATANZANIA.NAKUSHAULI HAMA HUO MTANDAO.
 
si voda tu wana mambo ya ajabu, sasa kuna tigo, sijui wanakata shilingi ngapi kwa sekunde, jamani kuweni waangalifu tunaibiwa tigo wanaiba sio kama mwanzo wanakata sh 1 ya kweli na hiyo thumni, ni waongo wanakata zaidi ya hapo. TCRA naomba simamieni hili
 

wewe ni muhusika 1 wapo nin wa voda mbona unawatetea wasitukanwe na kulaumiwa twambie bas wew unayejifanya unajua hayo masharti na vigezo hebu tudokeze kidogo.
Makampun ya sim ni wezi tuu na wanabahati nchi yetu upatikanaji wa mabom ya kujitoa muhanga hayapatikan ovyo vinginevyo minara yao yote ingegeuka skrepa tuuu.Najua kila mkoa wangejitoa muhanga watu watano 2 najua tungeenda xawa..
 

mkuu upo wapi wewe??. Kama unapatikana mikoa ambayo wanaofisi zinazotoa huduma wee watimbie tuuu.Mi mwenyewe nishazinguliwa xana na tigo na msg zao za kipuuzi puuzi niliwatimbia mliman city nikawaletea utata nikaingia mpaka kule ndan kabisa wanakojifanya wanakaa wale wataalam talaam kidogo .
 

Tatizo nashindwa kujizuia hasira zangu juu ya hawa watu,
Wasiwasi wangu huyo mtu wao atakaekua wa kwanza kunipokea inawezekana kabisa kisasi chochote kikamalizikia kwake wakati maskini ya mungu yeye sie mhusika,
Labda nitume mtu aende kupunguza ajali itakayotokea baina yangu nao.
 
siku chache zilizopita naibu waziri wa wizara hiyo "mawe matatu" alikuwa ktk kipindi maalum pale itv, kwa kweli niliwaambia tuliokuwa tunaangalia kipindi kile kuwa jk anaangushwa na wasaidizi wake, huyu jamaa sijui alimuokota wapi maana hana uelewa wowote na wizara ile moja maswali ilikuwa hivi

interviewer: kuna malalamiko ya kuwa makampuni ya simu yamekuwa yakiwaibia wateja kwa promotion fake, mfano utakuta kampuni imetoa offer kwamba ktk muda wako wa maongezi ukiongea dk 3 bila kukata simu utapata punguzo kwa dk zilizobaki lakini ukiongea kidogo tu kama dk ya 4 kunatokea kitu ghafla simu inakatika, je nyinyi kama wizara husika mnachukua hatua gani kuhusu wizi huu?

naibu: "kwanza kabisa kuna baraza la watumiaji linaloamua (hajui hata linafanya vipi kazi zake) sasa kama mteja ameona ameibiwa ni uamuzi wake yeye mwenyewe kuihama kampuni iliyomuibia na kujiunga na kampuni nyingine maana tupo kwenye ushindani wa kibiashara sasa hivi"

mkuu nadhani mwenyewe umeona hayo majibu, hapa ina maana serikali hachukui hatua yoyote ile kwa utapeli unaotokea otherwise labda kama waziri mwenyewe nae hajui taratibu kama ambavyo ulimuona bibi ghasia siku jk alipowaibukia wizarani ambavyo alkuwa hajui mambo mengi sana khs wizara yake
 
Ndio madhara ya kuwa na viongozi wachumia matumbo wanaoingia mikataba bomu kwa nia ya kujishibisha wao kwanza bila ya kujali maslahi ya taifa na wananchi wake...pamoja na kutuibia kwa njia hiyo na nyinginezo bado sijui tax compliance status ya Voda na mitandao mingine ipoje!?
 
Kaazi kwelio kweli................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…