Ni wasumbufu tena ni wezi...Pamoja na uzuri wao kihuduma, huu ujinga unakera. Nafhani ni wakati sasa waache kutumia namba zetu kwaajili ya matangazo ya kubet na wajikite kututangazia huduma zao. Unakuta umekaa meseji inaingia sijui the best na ujinga mwingine
Huo upuuzi nafikiria kuna namna ya kuu Block.Pamoja na uzuri wao kihuduma, huu ujinga unakera. Nafhani ni wakati sasa waache kutumia namba zetu kwaajili ya matangazo ya kubet na wajikite kututangazia huduma zao. Unakuta umekaa meseji inaingia sijui the best na ujinga mwingine
Kama hautojali mkuu nusaidie namna ya kublock bulk smsHuo upuuzi nafikiria kuna namna ya kuu Block.
Ngoja wantumie li sms la SONGESHA kisha ntali block ntakupa mbinuKama hautojali mkuu nusaidie namna ya kublock bulk sms