Hauwafahamu voda nini, wana bundle za ajabu sana, bei kubwa huduma ndogo.
Kwahiyo walau kidogo inakupasa mtu ujaribu huku na kule pengine huenda kuna conection zaidi za kukufanya upate bundle safi.
Mfano mimi hapa nina 1,500 natafuta bundle nzuri ya intaneti kwa bei hiyo lakini sioni.
Kwahiyo mleta uzi yuko sahihi