Nkungulume
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,987
- 1,210
Angalia vizuri mkuu hicho kifurushi cha tsh 8,000 unapata 3.2GB plus 400MB free kwa 7 days wakati kile cha 4,000 tulikuwa tunapata 1.2 GB kwa 7 days. Hata hivyo mie nilikuwa mnunuaji mzuri wa hicho cha Tsh 4,000 bado nimebaki nashangaa hapa.Habari za jioni wana Jamvi nimejaribu kununua kifurushi cha internet cha wiki ambacho kilikuwa kinauzwa sh.4000 lakini leo kinauzwa sh.8000 na kifurushi cha siku ni sh.2500 badala ya sh.1000.
Naomba kama kuna mtu ana taarifa zaidi anijuze tafadhali.
Labda hujanielewa mkuu cha sh.1000 sasa ni sh.2500Kitatokaje 2500 mpaka 1000 alafu unasema wameongeza?
Tatizo nimejaribu katika hii formula yao mpaya kutafuta kifurushi cha sh. 4000 sijakionaAngalia vizuri mkuu hicho kifurushi cha tsh 8,000 unapata 3.2GB plus 400MB free kwa 7 days wakati kile cha 4,000 tulikuwa tunapata 1.2 GB kwa 7 days. Hata hivyo mie nilikuwa mnunuaji mzuri wa hicho cha Tsh 4,000 bado nimebaki nashangaa hapa.
Ni tatizo mkuu maana hata taarifa hakunaDuu hawa jamaa wanatutesa sana na kupanda bei bila mpangilio wowote
Hata mimi nimeshangaa.... cha 1.2GB kwa 4,000 naona bado kipo.Angalia vizuri mkuu hicho kifurushi cha tsh 8,000 unapata 3.2GB plus 400MB free kwa 7 days wakati kile cha 4,000 tulikuwa tunapata 1.2 GB kwa 7 days. Hata hivyo mie nilikuwa mnunuaji mzuri wa hicho cha Tsh 4,000 bado nimebaki nashangaa hapa.
Hapo kwenye formula ndo majanga mara sijui mwaka bure sijui free mbs yaani full mzinguo ubora wenyewe zero wao marketing tu!Tatizo nimejaribu katika hii formula yao mpaya kutafuta kifurushi cha sh. 4000 sijakiona
Kwa kweli serikali ingetupia macho makampuni haya yanatuibia mchana kweupe eti bando la mwaka halafu wanakuongeza mb sijui ngapi? Wizi mtupuHapo kwenye formula ndo majanga mara sijui mwaka bure sijui free mbs yaani full mzinguo ubora wenyewe zero wao marketing tu!
Hivi bado mnaweka vocha kwenye voda?