Hawa jamaa wa voda washenzi sana, mie jana nmehangaika kweli kujiunga na hiyo wajanja night several times nikaambiwa salio langu halitoshi wakati kwenye account yangu kuna 1,288/=.
Sio lazima kukomaa kutaka kula kuku akati uwezo wako kauzu. Mshukuru kwa icho ulichopata. Mie sina mzuka na njia njia izi. Ayo ma vpn au proxy nayaacha as time goes.