Voda voda

Voda voda

Xoxa wear

Member
Joined
Aug 22, 2019
Posts
29
Reaction score
33
DAAH niliwaamini kwa miaka mitatu ila leo
Wameamua kuitoaa kabisa na dar supa un
Na ndo aliakuwa mkombozi wetu
Mtandao gani ni nafuuu
Wanajf
 
Mimi mbona bado ipo hio Dar Supa Uni sema voda sijaitumia zaidi ya miezi 3 au 4 yani wananitumia tu sms na kunipa ofa za internet za bure ila sijaweka vocha muda mrefu sana
 
Kaka usiwe mtumwa, rudi nyumbani tayari kumenoga
 
Back
Top Bottom