Hakuna mtandao nafuu hapa ni kamchezo tu ukikimbilia kule unakutana na speed ya kobe ukirudi pale unakutana na vifurushi ghali ukisema urudi nyumbani mtandao unasuasua
Vumilia tu mkuu japo mi nipo halotel na mega bando. Unapimiwa mb 500 kwa siku huu unyanyasaji wa hii mitandao utaisha lini?
Kwa kweli Voda na Tigo imekuwa mitandao ya hovyo sana. Tigo walikuwa na kifurushi cha WhatsApp mwezi kwa Tshs. 2,000/- ghafla wamerusha mpk 5,000/-. Wana-behave kana kwamba hawajui hali ya uchumi