VODA!! VODA!!

VODA!! VODA!!

Xoxa wear

Member
Joined
Aug 22, 2019
Posts
29
Reaction score
33
DAAH niliwaamini kwa miaka mitatu ila leo
Wameamua kuitoaa kabisa na dar supa un
Na ndo aliakuwa mkombozi wetu
Mtandao gani ni nafuuu
Wanajf
 
Hakuna mtandao nafuu hapa ni kamchezo tu ukikimbilia kule unakutana na speed ya kobe ukirudi pale unakutana na vifurushi ghali ukisema urudi nyumbani mtandao unasuasua

Vumilia tu mkuu japo mi nipo halotel na mega bando. Unapimiwa mb 500 kwa siku huu unyanyasaji wa hii mitandao utaisha lini?
 
DAAH niliwaamini kwa miaka mitatu ila leo
Wameamua kuitoaa kabisa na dar supa un
Na ndo aliakuwa mkombozi wetu
Mtandao gani ni nafuuu
Wanajf
Pole mkuu, me natumia halotel kuna kifurushi cha mega unajiunga via halopesa, kipo cha siku 500=500 MB, cha week 1000=GB1+(hiki ndo najiungaga sana)
 
Voda wanaudhi sana, kifurushi cha chuo ndo wamepunguza kutoka GB 1 kwa 2000/= mpaka kuwa MB 512 ,sawa tuu afu zinaisha fasta kama upepo yan
 
DAAH niliwaamini kwa miaka mitatu ila leo
Wameamua kuitoaa kabisa na dar supa un
Na ndo aliakuwa mkombozi wetu
Mtandao gani ni nafuuu
Wanajf
Mi naona kuna namna hii mitandao inabanwa maana si Voda tuh hata Tigo wanavifush vya bei mbaya
 
Mi naona kuna namna hii mitandao inabanwa maana si Voda tuh hata Tigo wanavifush vya bei mbaya
Kwa kweli Voda na Tigo imekuwa mitandao ya hovyo sana. Tigo walikuwa na kifurushi cha WhatsApp mwezi kwa Tshs. 2,000/- ghafla wamerusha mpk 5,000/-. Wana-behave kana kwamba hawajui hali ya uchumi
 
Kuna wajanja (Kampuni) nasikia zimejitolea kununua Mb's zetu zinazo baki/katwa...!!

Sijajua tu wanazinunuaje ila nasikia hawa ndio wanao tusababishia/tuletea majanga yote..
 
Back
Top Bottom