Kwa kweli inasikitisha sana ukizingatia miezi michache iliyopita tz ilikuwa kati ya nchi inayotoa huduma ya internet kwa bei nafuu lakini hivi sasa 1000 is worth 500 gb inasikitisha sana na hivyo vifurushi vya usiku ndio kupoteza hela tu maana speed wanabana yani hata kudownload 200mb ni shida