nikajua uwa inakula kwangu tu kumbe tuko wengi,yani binti omary kila mara ananiambiaga si uhame uko, na mimi nimekomaa nao tu ila safari hii naelekea airtel...tatizo langu sugu ni kuwa kila nikinunua bundle za airtime na mb, nikianza kupiga tu simu wanawahi eti,:mpenzi mteja kifurushi chako kimeisha, waweza kujiunga upya...dah nikicheki nina salio la dakika 49 ila ukipiga wanakula salio tu, nkajua utani nkaendelea kupiga, yaani ki elfu8 changu kwisha na dakika zao ziko vile vile 49. Nkajua labda siku iyo tu dah kila nkiunga wapi, dakika zinabaki, salio linatoweka, sijui wanadhani naokota vocha!!!naelekea airtel,yani nkiweka kifurushi cha siku7 ni siku saba kweli...thanks airtel japo iuku kijijini kwetu karatu netweke yenu iko chini siku zote ila tutaenda ivo ivo....