acha kudanganya watu.... Una isp zaidi ya mmoja, kama kweli umedownload kwa kupitia voda tupe snapshot ya dashboard ya voda kwenye statistics, tuone umedonload kiasi gani cha data...
Maana ukituonyesha statistics ya vuze utakuwa unatudangaya maana waweza download kwa kutumia mitandao mingine na vuze ikaendelea kuweka rekodi za files unazo shusha na kupandisha....
99gb kwa mtandao flani unatozwa tsh 1,000,000/- ndio voda wakupe 103gb kwa tsh 30,000/- kweli? Kadanganye watoto....
hata hivyo siwezi nikakubishia maana ukipiga hesabu ni kwamba unadownload 4gb per day..
Acha kudanganya watu.... Una ISP zaidi ya mmoja, kama kweli umedownload kwa kupitia voda tupe snapshot ya dashboard ya voda kwenye statistics, tuone umedonload kiasi gani cha data...
Maana ukituonyesha statistics ya Vuze utakuwa unatudangaya maana waweza download kwa kutumia mitandao mingine na vuze ikaendelea kuweka rekodi za files unazo shusha na kupandisha....
99GB kwa mtandao flani unatozwa TSH 1,000,000/- ndio voda wakupe 103gb kwa TSH 30,000/- kweli? kadanganye watoto....
Hata hivyo siwezi nikakubishia maana ukipiga hesabu ni kwamba unadownload 4gb per day..
hahahaaaa, uncle hapo kwenye red umefanya nicheke sana, naona unabisha kwa nguuuuuuvu, halafu unajijibu mwenyewe.
Kaka si lazima kuamin ila kama upo sehemu za mjini kwenye hsdpa try it.
LARRYHOVER
Junior Member
Join Date : 9th May 2011
Location : Dar es salaam, Tanzania
Posts : 5
Thanks
0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power : 0
Naomba majibu ya kwenye red tafadhali....
Umeulizwa maswali umeshindwa kujibu unakimbilia itimisho langu, una kwepa nini? njia ya muongo ni fupi sana, kama uliona topic yangu kuhusi internet ya tigo niliweka wazi kila kitu kwa nini nyie hapa mnataka kutuuzia mbuzi kwenye gunia?....
Majibu ya kwenye red Tafadhali
Rukus hiyo inamaanisha nn sasa..LARRYHOVER
Junior Member
Join Date : 9th May 2011
Location : Dar es salaam, Tanzania
Posts : 5
Thanks
0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power : 0
Mmh!:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
naomba majibu ya kwenye red tafadhali....
kaka achana nae huyoo kama hataki kuamini anajikuta anajua sana. kwanza ndo fresh asije ongeza idadi speed ikapungua...
safi mkubwa.