LARRYHOVER
Member
- May 9, 2011
- 29
- 1
Nimejiunga na kifurushi cha unlimited for 30 days cha vodacom
aisee ina speed nzuri cjapata ona naeza download like 4 GB Kwa masaa 12. usipimee
nawashauri mtumie hiii...
Mimi Vodacom muda mrefu sana na hapa nilipo natumia Modem yao ya K3565. Kwa hapa nilipo kuibahatisha WCDMA, HSDPA ni mara chache saaaaaaana na nikiibahatisha inakaa dakika chache halafu inapotea kabisa na kubaki EDGE na wakati mwingine GPRS hata GCM. Matokeo unadownload file la 3MB kwa saa nzima. Aaaa Voda hebu rekebisheni hili. Wewe unayedownload 4GB kwa 12HRS yawezekana kabisa uko mita chache kutoka kwenye mnara wa voda. Hebu nenda sehemu za mbali na mnara uone kama hutaichukia Voda.Nimejiunga na kifurushi cha unlimited for 30 days cha vodacom
aisee ina speed nzuri cjapata ona naeza download like 4 GB Kwa masaa 12. usipimee
nawashauri mtumie hiii...
Mimi Vodacom muda mrefu sana na hapa nilipo natumia Modem yao ya K3565. Kwa hapa nilipo kuibahatisha WCDMA, HSDPA ni mara chache saaaaaaana na nikiibahatisha inakaa dakika chache halafu inapotea kabisa na kubaki EDGE na wakati mwingine GPRS hata GCM. Matokeo unadownload file la 3MB kwa saa nzima. Aaaa Voda hebu rekebisheni hili. Wewe unayedownload 4GB kwa 12HRS yawezekana kabisa uko mita chache kutoka kwenye mnara wa voda. Hebu nenda sehemu za mbali na mnara uone kama hutaichukia Voda.
Ni kweli kabisa, ni mwezi wa tatu sasa natumia bomba 3o, kipindi cha nyuma nilikuwa natumia airtel ya 400m.
Nipo voda na bomba 30, ndani ya siku 25 tayari nishashusha files kwa torrents za 100 gb.
Nimeihama voda, wacha pumba. Speed mbovu, inakata kata, hata ya kwenye simu tu nayo ni bomu nataka niachane nayo hivi karibuni, nangoja credit zangu ziishe tu. TiGo ina afadhali inapopatikana.
Faiza, tiGO inaweza ikawa inapatikana vizuri hapo kwako lkn kwa wengine network ikawa ni kero..........download/upload speed hutegemea pia na location ulipo
KAKA AMBILI NAONA UMEGUNA, HII INAONESHA HUJANIAMINI, NAJUA WABONGO NI MPAKA MSHUHUDIE, HAYA, NIMEWEKA SCREEN SHOT HAPA, ANGALIA HAPO JUU UTAONA TOTAL 103.9GB HALAFU UPTIME NI 24 DAYS 3HOURS, NA BEFORE THIS SIKUWA NATUMIA VUZE, NILIKUWA NATUMIA BITTORENT.
BADO HUAMINI?????????????????????????
:dance::dance::dance::dance:
Ushuhuda wako wote kimya