Zak Malang JF-Expert Member Joined Dec 30, 2008 Posts 5,404 Reaction score 242 Aug 20, 2013 #1 Pamoja na kutangaziwa juzi kuwa mtambo wa Voda tayari umerekebishwa lakini hali haijarudi sawasa. Mara nyingine call hazipatikani, MSM zachelewa kuwa transmitted na hata kuuliza salio inakuwa vigumu. Kulikoni?
Pamoja na kutangaziwa juzi kuwa mtambo wa Voda tayari umerekebishwa lakini hali haijarudi sawasa. Mara nyingine call hazipatikani, MSM zachelewa kuwa transmitted na hata kuuliza salio inakuwa vigumu. Kulikoni?
M Msabaha lk Member Joined Apr 21, 2012 Posts 84 Reaction score 21 Aug 20, 2013 #2 tena hawa jamaaaa wajipange nahama punde tu