Hii iko always inapofika tarehe hizo
if((date>=24 && moth==12)
{
//set Christmas Icon!
}
else
{
//set normal icon
}
Nimegundua kuwa vlc imekuwa coded kubadili icon na kuwa imevalishwa kofia ya krismas katika msimu huu wa x-mas na mwaka mpya... mfano kwenye about box inaonekana hivi.
View attachment 76810
sasa mi naona hii inaleta ka-uzibeuzibe kwa wale ambao hawaamini hii habari ya x-mas kimsingi hii sijaona maana ya kuweka kakofia ka bw. xmas
Hii iko always inapofika tarehe hizo
if((date>=24 && moth==12)
{
//set Christmas Icon!
}
else
{
//set normal icon
}
hta kwa wale wenye uc browser android walichange logo ila iko poa haina ubaya
Hii iko always inapofika tarehe hizo
if((date>=24 && moth==12)
{
//set Christmas Icon!
}
else
{
//set normal icon
}
Mimi siishangai hiyo ICON bali nakushangaa wewe ulivyo double face.Hata mimi nilishangaa nikajiuliza imewezaje kubadilisha bila kuwa online!?
nyasiro mie niliona nikashangaa hii kitu vipi? nikahisi labda ime auto update ila nikashangaa laptop zingine tano zikawa zimechange nikashtuka, ila vlc version ya zamani haichangeView attachment 77066
yeah ila ukiforward tarehe au ukirudisha nyuma hiyo icon inapotea
Shukrani dada!asante kwa code
Yes! Some sort of C++ pseudocodenaona umenitupia cha c++, safi