Vizinga vya wanawake vimenifanya niwe single

Mkuuu naomba na mm niipate hii bahat ya mtendee
 
Ntalifanyiaa kaz hili mkuuu
 
Sio kila anaeomba hela anakuwa katika process za kupiga vizinga
Kuna yule anaekutest ili aone reaction yako, na kuna yule ambaye ameshakuchoka anakupiga kizinga ili nawewe umute afu ndo iwe nitolee hiyo
Mmmm wengi wao awajui kutest, yan anavyo omba tu unajua uyu nitapeli na ukijiloga umtumie tu utaombwa kila siku yan utasikia naomba vocha kila siku
 
Mwambie huyo yy anachukua kinamba kimoja tu ndomana analia lia
 
Pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…