Vizinga vya wanawake vimenifanya niwe single

yani hali ni mbaya mtaani vyuma vimekaza haswaa, mamanzi hawana chapaa kabisa yani vizinga ndio pona yao
 
Sio kila anaeomba hela anakuwa katika process za kupiga vizinga
Kuna yule anaekutest ili aone reaction yako, na kuna yule ambaye ameshakuchoka anakupiga kizinga ili nawewe umute afu ndo iwe nitolee hiyo
Mna mbinu, ila mwanamke akikupenda kweli na ukaelewa unatakiwa umfanyie nini hakupigi vizinga kabisa, ukijua kumhudumia vyema na kumjali wala hutopigika hata ukiwa kweny hali mbaya atakuelewa ni kwa mwenye upendo wa kweli, kila nkitaka chepuka napigwa vizinga hatari najikuta nabak njia kuu maana najua kabisa ntaliwa pesa zangu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Tulia,utampata tu.....yaan mm ilikuwa demu akiniambia tu hana mb,sjui njaa inauma bhc nafuta namba mpk nilipokuja kumpata mtoto mmoja ana mapenzi sio ya nchi hii....yy anataka upendo tu,akija kwangu hata nauli tu hataki nimpe yaan utaskia"baby najua hujaanza kuwa na hela za kunihudumia so keep that money please " mpk namshangaa sana......akija kwangu atabeba vipochopocho vya hapa na pale .....kiukweli kanifanya nmeacha michepuko yote maana kumsaliti mwanamke wa hivi mm roho inauma....so calm down, achana na hao slay Queens
 
Sio kila anaeomba hela anakuwa katika process za kupiga vizinga
Kuna yule anaekutest ili aone reaction yako, na kuna yule ambaye ameshakuchoka anakupiga kizinga ili nawewe umute afu ndo iwe nitolee hiyo
How do u differentiate the real and the fake?
 
Sisi wanaume wenzio huwa tunachukua namba 10 hadi 15 kwa siku kisha tunafanya mchujo hadi anabaki 1,sasa wewe pambana na hali yako na uzembe wako wa kuchukua namba moja kwa wiki wakati ilibidi uwe umeshachukua namba 100 ufanye mchujo hadi upate grade one
 
Maisha magumu mtaani mzee..
 
yani hali ni mbaya mtaani vyuma vimekaza haswaa, mamanzi hawana chapaa kabisa yani vizinga ndio pona yao
Wapunguzee vimezidi saana... Ukitongoza fasta kukubaliwa ila sasa vizinga vtakavyokuja hapo utajutaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…