jamani sio mbaya ukituarifu utakuwa kiwanja gani weekend hii na kama ikiwezekana utakua na nani pande hizo.!! kama upo lonely ndo usisite kabixa kuomba kampan...
ka kawa weekend yangu ndo naianzia xa hiz mitaa ya bulz hapa savei ntazid kuwapa updates kila ntakapo change kiwanja mpka j2 nyt, midamida ntakua na untie yenu madame B.!!!😛oa
Waooo...!!! Junior. Cux so Mmwaaa....!!!
He! Badae? Embu nambie nitupie nini,mana nilikuwa nimelala...!!
Junior. Cux kasketi gani hako?yeah badae ka kawaida.. we tupia kale kaskrt kako kafupi au kile kigaun kidogo dogo.!!
Junior. Cux kasketi gani hako?
Kale ulikonunua wewe au alikonunua mwenzio,si kale ka blu blu hv au?
achana na lile gunia alonunua yule masikin.. Pga kale kasket ulikokachukua born to shine, usisahau na ile top ya pink sasa
achana na lile gunia alonunua yule masikin.. Pga kale kasket ulikokachukua born to shine, usisahau na ile top ya pink sasa
Sawa switii...!!
Chini kia2 gani?
Then nenda kulee...!!
Pitia dukan kwa MpembA mckukue zana katoni moja!!!!
Ha! Pasco_jr_ngumi?
Zana za nini? Bebi wangu Junior. Cux keshanlipia mahari kwetu,so yuko freee...!!
owkay . . .
bora useme wewe dear.. kwanza ako kakaton kenyewe hakatoshi
He! Junior. Cux katoni haitoshi mamaa weee...!!!
Asa dear unataka ufidie na mahari yako au?
Jr tutaenda Sinza?
Junior. Cux jamani,unankoshaga hapo tu.jaman myn mbona sikuzile tulibakiza moja tu, hope leo itaisha yote.!! Mahari yako nshaimalza zaman tu..