mkolaj
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 3,023
- 1,092
Leo viwanja mbalimbali nchini Tanzania na hata huko Zimbabwe kutakuwa pia na mpambano mkali kati ya F.C PLATINUM VS YANGA
Ligi Kuu Tanzania Bara
Kagera Sugar vs Simba, Uwanja wa Kambarage Shinyanga, muda saa 16:30 jioni.
Ndanda FC vs Mbeya City, Uwanja wa Nangwanda sijaona Mtwara, muda saa 16:00 jioni.
Coastal Union vs Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkwakwani Tanga, muda saa 16:00 jioni.
KIMATAIFA
Kombe la Shirikisho
F.C Platinum vs Yanga uwanja wa Mandava muda saa 16:00 EAT, mechi hizi zote na nyingine tutajuzana hapa hapa JF-Sports.
Ndugu wanamichezo mnakaribishwa sana kuleta yote yanayojiri viwanjani kutoka kona zote za nchi na kokote Afrika.
Kwenye usukani mtakuwa nami mkolaj

Last edited by a moderator: